Papa Honorius III
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Honorius III (1148 – 18 Machi 1227) alikuwa Papa kuanzia tarehe 18/24 Julai 1216 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Cencio Savelli.
Alimfuata Papa Inosenti III akafuatwa na Papa Gregori IX.
Ndiye aliyethibitisha Kanuni ya Ndugu Wadogo iliyotungwa na Fransisko wa Asizi kwa ajili ya shirika lake (29 Novemba 1223).
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads