Orodha ya mapapa

orodha ya makala za Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia

Orodha ya mapapa
Remove ads

Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa Fransisko alikuwa papa wa 268. Hadi sasa hakuna orodha rasmi ya Mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko alikuwa Papa wa 266[1].

Thumb
Mapapa waliozikwa katika Basilika la Mt. Petro, Vatikano.
Remove ads

Orodha ya Mapapa

Kuanzia 30 hadi 250

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 251 hadi 514

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 514 hadi 752

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 752 hadi 1003

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 1003 hadi 1254

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 1254 hadi 1503

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Jina rasmi ...

Kuanzia 1503 hadi 1758

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Picha ...

Kuanzia 1758 hadi 2005

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Picha ...

Tangu 2005 hadi leo

Maelezo zaidi Miaka ya Upapa, Picha ...
Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads