Papa Innocent II
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent II (alifariki 24 Septemba 1143) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14/23 Februari 1130 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gregorio Papareschi.
Alimfuata Papa Honori II akafuatwa na Papa Selestini II.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads