Papa Innocent VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent VIII (kwa Kilatini: Innocentius VIII; kwa Kiitalia: Innocenzo VIII; 1432 – 25 Julai 1492) alikuwa Papa na mtawala wa Dola la Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/12 Septemba 1484 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cybo (au Cibo).
Alimfuata Papa Sixtus IV akafuatwa na Papa Aleksanda VI.
Akiwa mwana wa naibu mfalme wa Napoli, Cybo alitumia miaka yake ya awali katika mahakama ya kifalme ya Napoli. [3]
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads