Papa Innocent XIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Papa Innocent XIII (13 Mei 1655 – 7 Machi 1724) alikuwa Papa kuanzia tarehe 8/18 Mei 1721 hadi kifo chake[1]. Alitokea Poli, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Michelangelo Conti.
Alimfuata Papa Klementi XI akafuatwa na Papa Benedikto XIII.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads