Paramount Pictures
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paramount Pictures ni kampuni ya utayarishaji na usambazaji wa filamu nchini Marekani.


Kampuni ipo 5555 Melrose Avenue huko mjini Hollywood, California. Ilianzishwa mwaka wa 1912 na kwa sasa inamilikiwa na shirikisho la vyombo vya habari Viacom. Hii ni kampuni kongwe ya studio ya filamu ya Kimarekani ambayo bado inafanya kazi; pia ni ya mwisho katika orodha ya mastudio makubwa ya filamu yenye makao yake huko Hollywood, Los Angeles. Paramount husimama kama moja kati ya mastudio ya filamu yenye kupata mapato mengi ya mauzo ya filamu.[1]
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads