Paulo Denn

From Wikipedia, the free encyclopedia

Paulo Denn
Remove ads

Paulo Denn, S.J. (Lille, Ufaransa, 1 Aprili 1847 - Zhujihae 20 Julai 1900) alikuwa padri wa Ufaransa mmisionari nchini China aliyefia Ukristo huko wakati wa Uasi wa Waboksa waliovamia kanisa alimokuwa anawatia moyo waamini wakamchoma mbele ya altare pamoja na Leo Ignas Mangin na Maria Zhou Wuzhi[1].

Thumb
Picha yake halisi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 mwaka 2000.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 20 Julai[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads