Paulo Wu Juan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Paulo Wu Juan (Xihetou, 1838 hivi - Xiaoluyi, 29 Juni 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads