Pbow
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pbow ilikuwa monasteri ya maisha ya kijumuia iliyoanzishwa na Pakomi mnamo 336-337 BK. Pbow ina umbali wa takribani kilometa 100 kutoka kaskazini mwa Luxor, Misri.

Jina
Pbow ni jina la Kikopti. Kiarabu "Faw" katika neno "Faw al-Qibli" ("Faw Kusini") linatokana na Coptic Pbow[1]. Majina mengine ni "Bau", "Pboou", na "Phbow".[2][3]
Historia
Pbow ilianzishwa kama kituo cha utawala cha monasteri ya Pakomi mwaka 336-337 BK. Kituo hicho kilijumuisha Basilika ya mtakatifu Pakomi aliyefariki huko mwaka 347.
Ni machache yanayojulikana kuhusu historia ya Pbow baaada ya karne ya 6BK.Karibia au baada ya utawala wa al-Hakim, Pbow iliharibiwa na al-Hakim.
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads