Pelusi wa Aleksandria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Pelusi wa Aleksandria (alifariki 310) alikuwa padri aliyefia imani yake katika mji huo wa Misri[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Aprili[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads