Peter Joseph Serukamba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Peter Joseph Serukamba (amezaliwa tar. 6 Juni 1972) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa mwaka 2015 – 2020. [1][2].
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads