Petro Poveda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Petro Poveda Castroverde (Linares, Jaen, 3 Desemba 1874 - Madrid 28 Julai 1936) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Hispania na mwanzilishi wa Chama cha Kiteresa kwa ajili ya malezi ya Kikristo ya vijana[1].

Hatimaye aliuawa na waasi wa dini mwanzoni mwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania, akimtolea Mungu ushahidi mwangavu [2][3].
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mwenye heri tarehe 10 Oktoba 1993, halafu mtakatifu tarehe 4 Mei 2003.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads