Petro wa Argo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Petro wa Argo (pia: Petro mtendamiujiza; kwa Kigiriki: Άγιος Πέτρος ο Θαυματουργός[1] ; Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 9 - Argos, Ugiriki, 922 hivi) alikuwa mzaliwa wa familia tajiri yenye maadili bora, halafu mmonaki na hatimaye askofu wa Argos na Nauplion.
Kwa upendo mkubwa alijitahidi kusaidia fukara na kukomboa watumwa, mbali ya kujenga umoja kati ya Wakristo [2]
Maandishi yake yanapatikana katika mkusanyo wa Patrologia Graeca[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads