Pixel 9 Pro

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Google Pixel 9 Pro ni 'simu mpya yenye vipengele vya hali ya juu inayotumia teknolojia ya kisasa ya akili bandia na chip ya Google Tensor. Ina kiyoo cha Super Actua, ambayo ni angavu na inatoa rangi bora hata kwenye mwanga mkali wa jua, huku ikiendeshwa kwa kasi ya hadi 120Hz kwa urahisi katika uchezaji na kusogeza skrini[1].

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads