Plotinus
From Wikipedia, the free encyclopedia
Plotinus (kutoka Kigiriki Πλωτῖνος, Plootinos; Lycopolis, Misri 204/5 hivi – Campania, Italia, 270 BK) alikuwa mmojawapo kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa Ugiriki wa Kale.

Kama mwalimu wake, Ammonius Saccas, alifuata mapokeo ya Plato.[1] Kwa sababu hiyo, wanahistoria wa karne ya 19 walitunga jina Uplato Mpya[1] kwa falsafa yake iliathiri sana karne za mwisho za Roma ya Kale upande wa Wapagani na wa Wakristo vilevile, halafu Gnosi, falsafa ya Kiislamu n.k.
Mafundisho
Katifa falsafa yake mambo makuu ni matatu: Umoja, Akili na Roho.[2]
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.