Pomponi wa Napoli

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Pomponi wa Napoli (alifariki 536) alikuwa askofu wa 21 wa Napoli, Italia Kusini anayesifiwa kwa kutetea imani sahihi dhidi ya Wagoti Waario waliotawala nchi.[1][2].

Pia alijenga kanisa kwa heshima ya Jina takatifu la Maria, Mama wa Mungu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Aprili[3].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads