Prisko wa Capua
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Prisko wa Capua (alifariki Capua, Campania, Italia, karne ya 3 au ya 4) alifia imani ya Kikristo[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Septemba[2].
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads