Prokaryota
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Prokaryota (kutoka Kigiriki πρό, pró, yaani 'kabla', na κάρυον, káruon, yaani 'kiini') ni kiumbehai asiyeonekana kwa macho tu ambaye kwa kawaida anaundwa na seli moja tu isiyo na kiini na vinginevyo vilivyomo ndani ya utegili na utando wake [1].
Kwa sasa viumbehai wa aina hiyo wanagawiwa katika domeni mbili: Bakteria na Archaea. Domeni ya tatu, Eukaryota, inaundwa na viumbehai wenye kiini.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads