Prosdosimi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Prosdosimi (alifariki karne ya 2 hivi) alikuwa Mkristo mwenye asili ya Ugiriki ambaye anatajwa kama askofu wa kwanza wa Padua, Italia Kaskazini[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads