Prospa wa Orleans

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Prospa wa Orleans (alifariki 463) alikuwa askofu wa 10 wa Orleans (Ufaransa) [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads