Pujini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Pujini ni kata ya Wilaya ya Chake Chake katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 5,734 [1].Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,034 waishio humo. [2]
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi. Kuna habari za mtawala mashuhuri katika ukanda wa Afrika ya Mashariki anayejulikanwa kwa jina la utani Mkama Ndume, lenye maana ya mkamua wanaume kwa Kiswahili cha zamani.
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads