Pupa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Pupa
Remove ads

Pupa ni hatua ya maisha ya baadhi ya wadudu wanaopitia mabadiliko kati ya hatua za kukomaa na ukomavu wake. Katika mabadiliko ya maumbile au metamofosisi wadudu hao wanapitia hatua nne ambapo wanaonekana tofauti kabisa ambazo ni lava, pupa, na mdudu kamili (kwa lugha ya kitaalamu imago).[1]

Thumb
Pupa za mbawakawa aina ya 'Cetonia aurata.
Thumb
Pupa ya mbu. Tofauti na pupa wengine, puoa za mbu wanaweza kuogelea kwenye maji.

Mabadiliko hayo yote yanadhibitiwa na homoni mbalimbali.

Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads