RZA

From Wikipedia, the free encyclopedia

RZA
Remove ads

Robert Fitzgerald Diggs (amezaliwa 5 Julai 1969) ni mshindi wa Tuzo za Grammy, akiwa kama mtayarishaji wa muziki, mtunzi wa vitabu, rapa, mwigizaji, mwongozaji, na mwandishiskrini kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake kisanii kama RZA. Yeye ni umbo mashuhuri kwenye muziki wa hip hip na pia anaonekana kama ndiyo kiongozi wa kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Ametayarisha karibuni albamu zote za Wu-Tang Clan vilvile kazi nyingi za ushirikia na kujitegemea za wana-Wu-Tang. Baadaye akaamua kujikita zaidi kwenye suala zima la kutengeneza vibwagizo vya filamu na ugizaji kwa ujumla.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Remove ads

Diskografia

  • Bobby Digital in Stereo (1998)
  • Digital Bullet (2001)
  • Birth of a Prince (2003)
  • Digi Snacks (2008)

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads