Wu-Tang Clan

From Wikipedia, the free encyclopedia

Wu-Tang Clan
Remove ads

Wu-Tang Clan ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile RZA, GZA, Method Man, Raekwon, Ghostface Killah, Inspectah Deck, U-God, Masta Killa, na hayati Ol' Dirty Bastard [1] na Cappadonna ambaye amejiunga rasmi kwenye kundi 2007 kabla ya kutoa 8 Diagrams.[2] Walianzisha wakiwa ndani ya (na kwa ujumla hushirikiana na ) kisehemui cha kujitawala cha New York City cha Staten Island (hutumiwa na wanachama hao kama "Shaolin"), ingawa miongoni mwa wanachama hao hutokea huko mjini Brooklyn, akiwa na mwanachama mmoja kutoka The Bronx.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Asili yake ...
Remove ads

Diskografia

  • Enter the Wu-Tang (36 Chambers) (1993)
  • Wu-Tang Forever (1997)
  • The W (2000)
  • Iron Flag (2001)
  • 8 Diagrams (2007)
  • A Better Tomorrow (2014)

Marejeo

Viungo vya Nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads