Radha Mitchell
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Radha Rani Amber Indigo Anunda Mitchell (amezaliwa 12 Novemba 1973) ni mshindi wa Tuzo ya Guild, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Australia.


Wasifu
Maisha ya awali
Mitchell alizaliwa mjini Melbourne, Australia. Wazazi wake walitarikiana tangu yungali mdogo. Mama yake ni mwanamitindo ambaye baadaye alibadilika na kuwa mbunifu wa mavazi. Baba yake ni mtengenezaji wa filamu. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya St. Michael's Grammar School. Jina lake la kwanza, "Radha", lina asili ya Uhindu katika Uhindi, ambapo inamaana ya Mungu wa Kihindi - Krishna. Kwa upande mwingine wa jina lake linatokana na Uhindi asilia, "Rani" linamaana ya Malikia na Anunda linamaana ya furaha. Mitchell linamaana ya mavegeteria, yaani watu wasio kula nyama na kufanya mazoezi ya Yoga.
Remove ads
Filamu alizocheza
- Sugar and Spice (2000-2008)
- Black Trade (1995)
- Neighbours (1994) as Cassandra Rushmore
- Neighbours (1996–1997) as Catherine O'Brien
- Love and Other Catastrophes (1996)
- High Art (1998)
- Pitch Black (2000) as docking pilot Carolyn Fry
- Cowboys & Angels (2000) as JoJo (an angel)
- Everything Put Together (2000)
- When Strangers Appear (2001)
- Phone Booth (2002)
- Visitors (2003) as Yachtsman Georgia Perry
- Man on Fire (2004)
- Finding Neverland (2004)
- Melinda and Melinda (2004)
- Crazy in Love (2004)
- Mozart and the Whale (2005)
- Silent Hill (2006)
- Pu-239 (2007)
- Rogue (2007)
- Feast of Love (2007)
- The Children of Huang Shi (2008)
- Henry Poole is Here (2008)
- The Code (2008)
- The Surrogates (2009)
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads