Ranieri wa Forcona
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ranieri wa Forcona (alifariki 30 Desemba 1077[1]) anakumbukwa kama askofu wa Forcona (Italia) aliyepongezwa na Papa Aleksanda II kwa utendaji wake[2], hasa uadilifu katika kusimamia mali [3].
Anaheshimiwa kama mtakatifu[4].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Desemba.[5]
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads