Raphael Michael Japhary
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Raphael Michael Japhary ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CHADEMA. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Moshi Mjini kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads