Regulo wa Senlis
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Regulo wa Senlis (kwa Kifaransa: Rieul; aliishi karne ya 4 BK) alikuwa askofu wa kwanza wa Senlis (leo nchini Ufaransa)[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads