Rejinaldo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rejinaldo (pia: Reginaldus, Réginald, Regnauld, Renaud, Rainaud[1]; karne ya 11 - 1103/1104[2]) kwanza alikuwa kanoni nchini Ufaransa, halafu akawa mkaapweke ili kushika vema zaidi amri za Bwana [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius IX tarehe 1 Oktoba 1868.
Sikukuu yake ni tarehe 17 Septemba[4].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads