Reparata

From Wikipedia, the free encyclopedia

Reparata
Remove ads

Reparata (labda Kaisarea Baharini, Israeli, 235 hivi - 250 hivi[1]) alikuwa msichana bikira Mkristo aliyeteswa na kuuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya Kaisari Decius[2].

Thumb
Mt. Reparata.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Oktoba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads