Roderiki na Solomoni

From Wikipedia, the free encyclopedia

Roderiki na Solomoni
Remove ads

Roderiki na Solomoni (walifariki Cordoba, Hispania, 13 Machi 857) walikuwa watu wa Hispania waliouawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu ya imani yao ya Kikristo.

Thumb
Mt. Roderiki katika mavazi ya ibada ya padri.

Padri Roderiki alipokataa kusadiki kwamba Muhamadi alikuwa kweli nabii kutoka kwa Mwenyezi Mungu, alitupwa gerezani alipokutana na Solomoni, ambaye alikuwa amewahi kusilimu kwa muda fulani; hatimaye walishinda jaribu lao kwa kukatwa kichwa.[1] na mwingine mwenzake gerezani[2]

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Machi[3].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads