Rogaland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei, likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark, Aust-Agder na Vest-Agder. Jimboni hapa ni mahali pa kuu pa viwanda vya mafuta ya petroli, na kwa maana hiyo, Rogaland ina idadi ndogo mno ya ukosefu wa ajira kuliko jimbo lolote lile nchini Norwei, 1.1%.[1] Rogaland ina idadi ya vifo vya watoto ipatayo asilimia 2.18 kwa kila mama, ambayo ni kiwango cha juu sana kwa nchini humo, na moja kati ya idadi kubwa mno katika Ulaya.


Remove ads
Mgawanyo wa kiutawala
Jimbo kikawaida hugawanywa katika mfumo wa wilaya za zamani. Ambapo ni Haugalandet kaskazini mwa Boknafjorden, Ryfylke huko mjini mashariki, na Jæren na Dalane ambayo ipo magharibi-kusini.

Rogaland ina jumla ya manispaa 26:
|
|
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads