Ronano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ronano (aliishi karne ya 7 hivi) alikuwa askofu sehemu za Quimper (Bretagne, leo nchini Ufaransa) lakini alitokea Ireland akaishi kama mkaapweke msituni[1].

Tazama pia
Tanbihi
Vyanzo
Marejeo mengine
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads