Rose Cyprian Tweve
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rose Cyprian Tweve (amezaliwa tarehe 31 Desemba 1977) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads