Rufilo

From Wikipedia, the free encyclopedia

Rufilo
Remove ads

Rufilo (karne ya 4 - karne ya 5) alikuwa Mkristo ambaye anatajwa kama askofu wa kwanza wa Forlimpopoli (Italia Kaskazini) aliyepinga sana Uario na kuleta Wapagani wote wa eneo lake kwenye imani ya Kikristo [1].

Thumb
Mt. Rufilo alivyochorwa akiponda joka.

Alifariki akiwa na umri wa miaka 90.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Julai[2].

Remove ads

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads