Rufo na Zosimo
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rufo na Zosimo (waliuawa 107 hivi) walikuwa Wakristo waliofia dini yao kama walivyoandika kwanza Polikarpo[1], halafu Eusebi wa Kaisarea[2][3].

Polikarpo, akiwaandikia Wakristo wa Filipi aliwaunganisha na Ignas wa Antiokia: «Hao walishiriki mateso ya Bwana wasipende ulimwengu huu, bali yule ambaye kwa ajili yao na kwa wote alikufa akafufuka»[4].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads