Rufo wa Misri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Rufo wa Misri (aliishi katika karne ya 5) alikuwa mkaapweke wa Misri

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na madhehebu mengine mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 22 Oktoba[1].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads