Ruvu (Pangani)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Ruvu (pia: Luffu au Jipe Ruvu) ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto Pangani[1] kaskazini mashariki mwa Tanzania.



Mto Ruvu unaanza kwenye Ziwa Jipe; unakusanya maji kutoka mitelemko wa Kilimanjaro kupitia Mto Lumi na pia kutoka Milima ya Upare. Unakwisha katika bwawa la Nyumba ya Mungu ambako Mto Pangani unaanza[2].
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads