Rwandan Patriotic Front
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Rwandan Patriotic Front (kifaransa: Front patriotique rwandais, FPR) ni chama tawala nchini Rwanda.[1]
RPF ilianzishwa mnamo Desemba 1987 na Watutsi wa Rwanda waliokuwa uhamishoni nchini Uganda kwa sababu ya ghasia za kikabila zilizotokea wakati wa Mapinduzi ya Wahutu Rwanda mwaka 1959-1962.[2][3] Mnamo 1990, RPF ilianzisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Rwanda katika jaribio la kupindua serikali, ambayo ilitawaliwa na Wahutu. Baadaye, mauaji ya halaiki ya Rwanda yalitokea ambayo yalimalizika tarehe 4 Julai kwa ushindi wa RPF wa nchi nzima. [4][5][6] Chama cha RPF kimetawala nchi tangu wakati huo kama taifa la chama kimoja, na kiongozi wake wa sasa, Paul Kagame, akawa rais wa Rwanda mwaka wa 2000, mpaka sasa.[7]
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads