Salima Jobrani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Salima Jobrani (alizaliwa 25 Februari 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Salima alicheza mara ya mwisho kama golikipa wa klabu ya Al-Riyadh ya nchini Saudia na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads