Sebastiani mfiadini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sebastiani mfiadini (alifariki Roma, Italia, 288 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian dhidi ya imani hiyo.

Mzaliwa wa Milano, Ambrosi anaeleza kwamba alifika Roma wakati dhuluma ilipokuwa kali akapatwa nayo akajishindia makao ya milele [1].
Tangu kale[2] anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Wa kwanza wanaadhimisha sikukuu yake tarehe 20 Januari[3], wa pili tarehe 18 Desemba.
Remove ads
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo ya Kiswahili
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads