Sefrou
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Sefrou ni mji wenye wakazi 68,272 (2008) ambao upo Moroko.


Utamaduni
Sefrou inafahamika kwa sherehe (tamasha) za Sefrou Cherry iliyodhaminiwa na UNESCO, inayofanyika mwezi wa Juni kila mwaka.[1] Sherehe hii ilianzishwa mnamo mwaka 1920, ikijumuisha mashindano ya urembo ambapo wanawake wa Morocco wanashindania kuwa mlimbwende wa Cherry. Sherehe hii inadumu kwa siku tatu na kujumuisha muziki wa kitamaduni, Vyakula vya utamaduni wa Morocco na michezo.[2] Mji una Medina na misikiti miwili na kila alhamisi ni siku ya soko.
Remove ads
Tazama pia
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads