Selemani Jumanne Zedi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Selemani Jumanne Zedi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Bukene kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads