Selemani Said Bungara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Selemani Said Bungara (amezaliwa 18 Novemba 1961) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Wananchi au Civic United Front (CUF). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kilwa Kusini kwa mwaka 2015 – 2020. [1]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads