Severo wa Auch
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Severo wa Auch (karne ya 5 - 502 hivi) alikuwa padri wa Akwitania, leo nchini Ufaransa, aliyetumia mali zake kusaidia maskini na kujenga makanisa mbalimbali [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads