Shamiani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Shamiani ni kata ya Wilaya ya Mkoani katika Mkoa wa Pemba Kusini, Tanzania.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 1,264 [1].
Remove ads
Historia
Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya Bahari ya Hindi.
Kwa sasa ni eneo lililohifadhiwa la kihistoria lenye nyumba za magofu za Waswahili zilizochimbwa kutoka takriban karne ya 14 hadi ya 16[2][3].
Tazama pia
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads