Simeoni Metafraste
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Simeoni Metafraste alikuwa mtunzi wa magombo 10 juu ya maisha ya watakatifu (Synaxarium au menologion)[1].

Aliishi katika nusu ya pili ya karne ya 10, lakini tunajua kidogo sana juu yake.[2]
Waorthodoksi wanamheshimu kama mtakatifu.
Tazama pia
Maandishi yake
Tanbihi
Vyanzo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads