Simetri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Simetri (alifariki Roma, 159 hivi) alikuwa padri wa Roma ya Kale aliyeuawa kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Antoninus Pius [1].

Pamoja naye walizikwa wafiadini wengine 22[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Mei[3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads