Sindolfi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sindolfi wa Reims (Akwitania, karne ya 6 - Aussonce, karibu na Reims, Ufaransa, 600 hivi) alikuwa mkaapweke msituni aliyejulikana na Mungu tu [1].

Hata hivyo inasimuliwa kwamba aliwafafanulia Biblia watu wa jirani akapewa upadri.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Oktoba[2].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads