Sirili wa Antiokia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Sirili wa Antiokia (alifariki Panonia, 306 hivi) alikuwa Patriarki wa Antiokia, leo nchini Uturuki, baada ya Timeo, kuanzia mwaka 280 hivi hadi 303 alipopelekwa uhamishoni Ulaya katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads